Karibuni katika duka letu lililokuwepo Vuga kwa huduma zote za Secretarial Services kama printing, photocopy, lamination, document scanning na binding. Pia tunatoa huduma za Mobile Money na kuuza airtime vouchers za mitandao yote.

Kwa mawasiliano tuandikie kwenda info@rasahi.com au piga simu 0779777773 au 0779777775.

No comments:

Post a Comment